Connect with us

Makala

Barcelona Kwenye Mikono Ya Xavi.

Xavi Hernandez anaripotiwa kupewa dili la kuinoa timu ya Barcelona kwa kipindi cha miaka miwili akichukua nafasi ya Ernesto Valverde.

Mtendaji mkuu wa Barcelona Oscar Grau na kiongozi Eric Abidal wameonekana kufanya mazungumzo na nyota huyo wa zamani.

Ni mara baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-2kutoka  kwa Atletico Madrid kwenye  nusu fainali ya kombe la Super Cup, Saudi Arabia.

Kutua kwa kocha Xavi  ndani ya Barcelona kutampa wakati mgumu wa kuitengeneza timu upya na kuweza kunyakuwa taji la nane la La Liga.

Wengine wanaotajwa kutua Barcelona ni Pep Guardiola kocha wa Manchester City na Thlery Henry.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala