Connect with us

Makala

Nyota United Akutwa Na Corona

Mshambuliaji wa Manchester United,Paul Pogba amekutwa na virusi vya Corona muda mfupi kabla ya msimu mpya wa ligi kuu England kuanza hivyo ameondolewa kwenye kikosi kwa ajili ya uangalizi.

Pogba mwenye miaka 27 alitumia muda mwingi wa mapumziko ya ligi akiwa na familia yake hivyo atakuwa kwenye uangalizi kwa muda mpaka pale atakaporejea kwenye ubora wake kwa muda wa siku 10.

Kocha Mkuu wa United,Ole Gunnar Solskjaer anatambua kuwa atamkosa nyota huyo ndani ya Old Trafford kwa kwani utaratibu ni muhimu kufuatwa ili kuwakinga wachezaji wengine wasipate virusi vya Corona.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala