Connect with us

Makala

Namungo Kujiandaa Dhidi Ya Mbao Fc

Timu ya Namungo iliyovunja rekodi ya  Tanzania Prisons kwa kuwapa kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo  wa ligi imejiandaa kuwapa dozi Mbao Fc kwenye mchezo ujao wa ligi kuu nchini.

Kocha mkuu wa Namungo Hitimana Thiery alisema kuwa watakuwa na mchezo kwanza wa kombe la FA na Biashara United kisha zamu ya Mbao Fc na Alliance Fc itafata katika uwanja wao wa nyumbani hivyo wanaahidi kufanya vizuri ili kupata matokeo mazuri.

Namungo itapambana na Mbao Fc katika uwanja wa Majaliwa siku ya Jumamosi 1 Februari,2020.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala