Connect with us

Makala

Mtibwa Sugar Hoi Kwa Kmc

Timu iliyonyakua ushindi wa kombe la mapinduzi Mtibwa Sugar wamefungwa na KMC mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa uwanja wa Uhuru leo Januari 17 ,2020.

Sadala Kipangwile ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo  KMC kwa kufunga mabao hayo kwa dakika tofauti bao la kwanza akifunga dakika ya 18 na dakika 43 akafunga bao la pili na kuifanya timu yake kuibuka washindi.

Kocha mkuu wa Mtibwa Sugar Zuber Katwila amesema kuwa leo haikuwa bahati yao ya kupata ushindi mbele ya KMC.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala