Connect with us

Makala

Mayweather Kurudi Tena Ulingoni

Bondia kutoka Marekani Floyd Mayweather ameamua kuwasuuza moyo masahabiki wake baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kuona pambano jingine kutoka kwake na hivyo ametangaza  kwenye kurasa yake ya istagram kuwa amejiandaaa tena kuingia ulingoni kupambana dhidi ya Conor Mcgregor na khabib Nurmagomedov.
Mayweather ambaye ni nguli wa ndondi kutoka Marekani aliweza kumshinda M-Ireland  huko Las Vegas Agosti 2017 katika pambano la raundi 10.
Dana White ambaye ni bosi wa UFC, amethibitisha kuwepo kwa pambano hilo kwani mazungumzo yameshaanza ambapo mwanzoni mwa wiki hii McGregor aliongea kuhusu azma yake ya kupambana tena na Mayweather.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala