Connect with us

Makala

Manara,Bumbuli Wapigwa Faini

Mkuu wa Idara ya habari ya klabu ya Yanga sc Hassan Bumbuli pamoja na msemaji wa klabu hiyo Haji Manara wamepigwa faini ya shilingi laki tano kwa kila mmoja kwa kosa la kuwashutumu waamuzi katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika tarehe 8 makao makuu ya klabu hiyo.

Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa sheria namba tano ya ligi kuu nchini ambapo imempa mamlaka mtunza muda kuongeza muda kutokana na mwenendo wa mechi na sio wengine kuingilia maamuzi hayo hivyo kitendo cha Bumbuli na Manara kuhoji kinapingana na sheria hiyo hivyo kupewa onyo.

Manara na Bumbuli katika mkutano wao na waandishi wa habari walilamika matukio kadhaa ya waamuzi ikiwemo kuongeza muda mwingi hasa katika mechi zinazoihusisha klabu ya Simba sc huku za Yanga sc ikiongezwa dakika chache.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala