Connect with us

Makala

Mabingwa Fainali FA Wapokelewa Dar Leo

Kikosi cha Simba kimewasili leo jijini kikitokea Sumbawanga ambapo kilikuwa na mchezo wa fainali dhidi ya Namungo FC ambao walipigwa mabao 2-1 katika Uwanja wa Nelson Mandela.

Wanamsimbazi hao wamerejea na taji la kombe la shirikisho mjini ili  kuendeleza shangwe la ubingwa walioutwaa Sumbawanga kwani mashabiki ni ngao yao kubwa na wamekuwa bega kwa bega hivyo inabidi wafurahi kwa pamoja.

Wachezaji wa Simba wamepanda kwenye basi rasmi lililoandaliwa wakiwa na mataji mawili la Ligi Kuu Bara pamoja na Shirikisho wakiwa Kwenye msafara kuelekea Msimbazi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala