Connect with us

Makala

KMC Wadaka Kipa Mbao Fc

KMC Fc imekamilisha usajili wa golikipa kutoka Mbao Fc ,Raheem Sheikh kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Uongozi huo umeamua kumsajili kipa huyo kwa imani kubwa kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa vijana wao wa kinondoni kwa msimu wa 2020/2021.

KMC imemaliza msimu wa 2019/2020 ikiwa nafasi ya 13 katika msimamo wa ligi kuu na pointi 46 huku ikiwa imecheza michezo 38,ikitoa sare 7 kupoteza mechi 18 na kushinda michezo 13.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala