Connect with us

Makala

Kiungo Yanga sc Atua Tabora United

Kiungo wa zamani wa Yanga sc,Ihefu sc na As Vita Papy Kabamba Tshitshimbi amejiunga na klabu ya Tabora United kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Ihefu Fc ambapo alikua amemaliza mkataba wake.

Papy anatarajiwa kuongeza uzoefu katika safu ya kiungo ya timu hiyo kutokana na kuwa na uzoefu wa kutosha ndani na nje ya nchi hasa akiwa ameshatumikia hata michezo ya kimataifa akiwa na Yanga sc.

Hata hivyo klabu hiyo inapaswa kuombea kiungo huyo asipata majaraha ya mara kwa mara kutokana na miaka ya hivi karibuni kuwa na majeraha ya mara kwa mara.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala