Connect with us

Makala

Kisa Simba sc,Mastaa Al Ahly Wapigwa Biti

Kocha Marcel Koller amewataarifu wachezaji wake wa Al Ahly kuwa wamefungiwa kutumia mitandao ya kijamii hadi angalau mwisho wa mchezo wao wa Ligi ya mpya ya African League dhidi ya Simba SC utakaofanyika oktoba 20 upite.

kocha huyo raia wa Uswisi ametaja Sababu ni kwamba anaona  kuna hali ya uzembe miongoni mwa wachezaji kabla ya mechi muhimu Hakuna kuchapisha picha wala video kwenye mitandao ya kijamii hadi pale mchezo huo utakapopita.

Al Ahly imekua na wakati mgumu baada ya kufungwa na Usm Algers katika mchezo wa Super Cup wikiendi iliyopita na hivyo kusababisha uongozi kuchukua hatua madhubuti ili kutuliza hali ya hewa kwa mabingwa hao wa bara la Afrika.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala