Connect with us

Makala

Kihimbwa Arejea Uwanjani

Mchezaji wa Mtibwa Sugar ,Salum Kihimbwa amerejea uwanjani rasmi baada ya kupona majeraha yake akiwa yupo tayari kukabiliana na michezo ijayo ikiwemo Ndanda Fc ya kesho.

Kihimbwa alipata majeraha tangu Februari 2 na alipoenda kupokea matibabu alikosa mechi saba za Februari ambazo katika hizo kikosi chake walipoteza mechi sita na kuambulia pointi moja.

Thobias Kifaru ambaye ni afisa habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wana imani na Kihimbwa kuweza kucheza mchezo wa kesho dhidi ya Ndanda Fc.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala