Connect with us

Makala

Juma Kaseja Dimbani.

Mlinda mlango wa KMC na Timu ya Taifa (Taifa Stars)Juma Kaseja anatarajia kurejea tena uwanjani hivi karibuni.

Kaseja alisemekana kuwa na uvimbe gotini mguu wa kulia siku chache kabla ya kuanza kwa mashindano ya kombe la chalenji Disemba mwaka jana.

Alifanikiwa kufanyiwa operesheni kabla ya tatizo lake kuwa kubwa na hivi sasa ameanza mazoezi ‘maalum’ chini ya madaktari wa Taifa Stars.

“Namshukuru Mungu niko vizuri sina maumivu na nimeanza mazoezi ‘maalum’ kurudi uwanjani kamili hadi mwezi februari”alisema Kaseja.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala