Connect with us

Makala

Hatuna Mpango Na Ramos-Real Madrid

Real Madrid haina mpango wa kumpa ofa ya mkataba mpya beki wao wa kati ,Sergio Ramos mwenye umri wa miaka 34 ambaye  mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu huu na inaelezwa kuwa anaweza kuibukia kukipiga nchini China.

Ramos alijiunga Real Madrid nwaka 2015 akitokea klabu ya Sevilla amebakiza mabao tisa pekee ili kufikisha mabao 100 kwani kwa sasa amefunga jumla ya mabao 91 ndani ya Madrid.

Licha ya kuwa Kwenye ubora wake msimu huu akiwa na Klabu hiyo kwa kucheza mechi 34 na kutupia mabao saba bado halijawashtua mabosi wa Real Madrid na hivyo kutokuwa hata na mpango wa kumuongezea mkataba.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala