Connect with us

Makala

Corona Yawapa Faida Spurs

Tottenham Hotspurs wamepata tiketi ya moja kwa moja kushiriki hatua ya 16 bora ya Carabao Cup baada ya mchuano wa raundi ya tatu uliowataka kukutana na LeytonOrient kufutiliwa mbali.

Hatua hiyo imechangiwa na tukio la idadi kubwa ya wanasoka wa Orient(wachezaji 17) kupata virusi vya Corona na kutiwa karantini.

Spurs watavaana na Chelsea kwenye hatua ya 16 bora ya Carabao Cup ,Septemba 29,2020 katika uwanja wa nyumbani wa Tottenham Hotspurs.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala