Stories By Sports Leo
-
Soka
/ 5 years agoNafasi ya Amunike Yageuka Lulu Stars
Kufuatia kufukuzwa kwa kocha wa Taifa stars Emmanuel Amunike makocha wengi wamewasilisha wasifu wao katika shirikisho la soka la Tanzania(Tff) ili...
-
Masumbwi
/ 5 years agoBondia Mwingine Afariki Baada ya Pambano
Bondia kutoka nchini Ajentina Hugo Santillan mwenye umri wa miaka 23 amefariki dunia kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kupambana na...
-
Soka
/ 5 years agoBoko Aula Stars Chan
Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndayiragije amemteua mshambualiaji wa Simba sc John Boko kuwa nahodha wa kikosi hicho kuelekea...
-
Makala
/ 5 years agoMan Utd Balaa
Kikosi cha Manchester United kimeendelea kuonyesha makali katika michuano ya Icc baada ya jana kuifunga timu ya Tottenham kwa mabao 2-1...
-
Soka
/ 5 years agoDante,Abdul Wapigwa “Stop” Yanga
Inaelezwa kuwa mabeki wa timu ya Yanga sc Juma Abdul na Andrew Vicent “Dante” wamesimamishwa na uongozi wa klabu hiyo kwa...
-
Soka
/ 5 years agoSerikali-Ruksa Mapro 10
Waziri wa mwenye dhamana ya michezo Harrison Mwakyembe ameruhusu usajili wa wachezaji 10 wa kigeni katika timu zinazoshiriki ligi kuu nchini....
-
Makala
/ 5 years agoMakelele Mbioni Kumrithi Zahera Drc
Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Chelsea na Real Madrid Claud Makelele yupo mjini Kinshasa akikamilisha mazungumzo ya kuwa kocha mkuu...
-
Soka
/ 5 years agoNi Yanga vs Kariobang Sharks Wiki ya Mwananchi
Klabu ya Yanga sc imethibitisha kuwa itavaana na Kariobang Sharks ya Kenya katika siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi katika...
-
Soka
/ 5 years agoSimba Mwendo wa 4G
Baada ya kushinda mechi ya jana kwa mabao manne,Leo tena timu hiyo imeshuka dimbani na kuibuka na ushindi huo huo wa...
-
Makala
/ 5 years agoBondia Afariki kwa Kipigo Urusi
Bondia Maxim Dadashev 28 raia wa Urusi amefariki baada ya kupata majeraha alipokua ulingoni katika pambano la raundi 12 dhidi ya...