Stories By Sports Leo
-
Soka
/ 5 years agoStars Watua Chan
Mabao ya Erasto Nyoni na Ditram Nchimbi yametosha kuifikisha timu ya taifa ya Tanzania katika fainali za michuano ya mataifa ya...
-
Soka
/ 5 years agoFifa Kuishushia Rungu Uganda
Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA) limetoa onyo kwa nchi ya Uganda kuwa litaifungia kujihusisha na masuala ya soka ikiwa serikali ya...
-
Soka
/ 5 years agoMatic Kumfata Conte
Kiungo wa klabu ya Manchester United Nemanja Matic yupo mbioni kuachana na klabu hiyo kwenda kujiunga na kocha wake wa zamani...
-
Soka
/ 5 years agoYanga Kutua Mwanza Kibabe
Wakati kikosi cha timu ya Yanga kikitarajiwa kuwasili jijini humo leo ijumaa uongozi wa matawi ya timu hiyo jijini humo umewaandalia...
-
Soka
/ 5 years agoMolinga Bado Kidogo Tu
Straika David Molinga amebakiza kidogo kuanza kuichezea timu hiyo katika michuano ya kimataifa baada ya leseni yake kuwa katika hatua za...
-
Masumbwi
/ 5 years agoBondia Mwingine Afariki Ulingoni
Bondia wa Marekani Patrick Day 27,ambaye alikuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi tangu siku ya Jumamosi usiku baada ya kujeruhiwa...
-
Soka
/ 5 years agoZidane Akomaa na Kante,Pogba
Kocha wa timu ya Real Madrid Zinedine Zidane ameshikilia usajili wa viungo Paul Pogba na Ngolo Kante kuhakikisha wanajiunga na mabingwa...
-
Soka
/ 5 years agoWambura Out TPLB
Mtendaji mkuui wa bodi ya ligi Michael Wambura ameondolewa katika nafasi hiyo baada ya mkataba wake kuisha na shirikisho la soka...
-
Masumbwi
/ 5 years agoMwakinyo,Mfilipino Rekodi Zinaongea
Bondia Hassan Mwakinyo anatarajiwa kupambana na bondia raia wa ufilipino Arney Tinampay katika pambano la uzito la Super welter litakalofanyika katika...
-
Soka
/ 5 years agoStars Yatua Sudan
Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) imewasili mjini Khartoum nchini Sudan kuelekea mchezo wa kimataifa wa kuwania kufuzu fainali za...