Klabu ya Simba Sc imesisitiza kuwa haiko tayari kumuachia kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua kwa dau chini ya shilingi bilioni 1.5 za kitanzania. Awali klabu hiyo iliwasiliana na Kaizer Chiefs …
Sports Leo
Sports Leo
mwandishi wa habari hizi ana taaluma ya habari na mawasiliano kutoka chuo kikuu cha saut mwanza huku akiwa na uzoefu wa kuandika habari za michezo kwa zaidi ya miaka saba sasa.
-
-
Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc raia wa Argentina mwenye umri wa miaka 58 Miguel Ángel Gamondi ameripotiwa kufanya mazungumzo na APR FC ya nchini Rwanda kwa ajili …
-
Klabu ya soka ya Pyramid Fc ya nchini Misri imeendelea kumshawishi mshambuliaji Fiston Mayele kusaini mkataba mpya ili kuendelea kusalia klabuni hapo baada ya kuridhishwa na kiwango chake msimu huu. …
-
Kocha wa Simba Sc Fadlu Davids ametozwa faini ya sh 2,000,000 kwa kutoa shutuma dhidi ya bodi ya ligi akidai kuwa wana ajenda tofauti dhidi ya timu yake kuhusiana na …
-
Mwamuzi Hery Sasii amefungiwa miezi sita kufuatia kushindwa kumudu mchezo wa #Ligi kuu ya Nbc nchini kati ya Simba dhidi ya Singida Black stars kwa kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa …
-
Klabu ya APR FC kutoka Rwanda imeingia katika kinyang’anyiro cha kumuwania mshambuliaji kutoka Asec Mimosa Ecua Acua Celestine ambaye amefunga jumla ya magoli 15 ndani ya msimu huu akiwa na …
-
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la …
-
Klabu ya soka ya Al Hilal ya Sudan imependekeza jina la kocha wa Simba Sc raia wa Afrika kusini Fadru Davis kuwa kipaumbele Chao Cha kwanza kukinoa kikosi chao kuanzia …
-
Klabu ya Yanga sc ipo mbioni kumleta nchini beki wa klabu ya Tp Mazembe Ibrahim Keita kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa timu hiyo inayompigia hesabu kumsajili kwa …
-
Nyota wa Twiga Stars na Brighton & Hoves ya England, Aisha Masaka ametoa neno la shukrani baada ya kushinda tuzo ya mwanamichezo bora wa kike mwaka 2024, katika usiku wa …