Connect with us

Makala

Wasouth Wamtaka Mayele

Klabu Ya Kaizer Chiefs Ya Afrika Kusini wanamuhitaji Mshambuliaji Hatari wa klabu ya Yanga Fiston Kalala Mayele (27) kama mbadala wa Samir Nurkovic (29) Raia wa Ambaye anaweza kuachwa ifikapo mwishoni mwa msimu huu.

Fiston Mayele amekuwa na kiwango bora sana ndani ya kikosi cha Yanga ambapo mpaka sasa amefunga jumla ya mabao 10 mpaka sasa katika msimu wa ligi kuu ya Nbc huku ikiwa katika duru la pili raundi ya 17 huku pia akiwa amefunga katika michezo ya kirafiki mbalimbali nchini.

Yanga sc ilimsajili Mayele kutoka As Vita ya nchini Congo msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili huku akiwa ameutumikia miezi kadhaa tu ya mkataba wake huku tayari akiwa ni kipenzi cha mashabiki wa klabu hiyo yenye makao makuu mitaa ya Twiga na Jangwani kariakoo jijini Dar es salaam.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala