Connect with us

Soka

Yanga yawarudisha Azam FC kwa Mkapa

Klabu ya soka ya Yanga imeurudisha kwa Benjamin mchezo wao wa tarehe 30/10/2021 dhidi ya Azam Fc uliokuwa ufanyika katika dimba la Kumbukumbu ya Amani Jijini Arusha.

Taarifa hiyo imetolewa kwenye ukurasa rasmi wa Instagram wa klabu hiyo hii leo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka