Connect with us

Soka

30 kuwania Ballon D’OR 2021

Jarida la michezo la French magazine limetoa orodha ya wachezaji 30 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2021 zitakazofanyika baadae mwaka huu.

Majina hayo yatachujwa na kubaki 10 ambapo baadae mchakato utaendelea hadi kubaki kwa majina 3 yatakayoingia katika kinyanganyiro rasmi cha tuzo hiyo ya waandishi wa habari za michezo duniani.

Upinzani mkubwa mwaka huu unatajwa ni kati ya mshindi wa kombe la Ulaya na klabu bingwa Ulaya Georginho,Ngolo Kante na mshambuliaji Robert Lewandowsky wanaotazamiwa kuingia tatu bora.

Orodha kamili ni kama ifuatavyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka