Connect with us

Makala

Rais Lyon Atoa Ruksa Kusepa

Rais wa klabu ya Olympique Lyon ,Jan Michael Aulas amewambia wachezaji wote wa timu hiyo kufikia ijumaa mchezaji yeyote aliepo kwenye timu hiyo anayetaka kuondoka aondoke kabla ya siku hiyo.

Hii ni kwa wachezaji walioomaliza mikataba yao ndani ya Lyon na kama hatoondoka basi mchezaji huyo asahau kuondoka katika klabu hiyo kwenye Dirisha hilo kubwa la usajili lililofunguliwa Septemba ,2 mwaka huu.

Rais huyo anafanya hivyo ili kuwafanya Arsenal na Barcelona Wanaowataka Houssam Auor na Memphis Depay kuongeza kasi kwenye kukamilisha madili ya kuwachukua nyota hao.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala