Connect with us

Makala

Beki Mbao Amwaga Wino Azam

Leo Agosti 12 Azam Fc imeingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kushoto kutokea Mbao Fc, Emmanuel Charles kwa usajili huru.

Charles amekuwa na kiwango bora ndani ya Mbao Fc msimu uliopita, amefanikiwa kutengeneza pasi za mabao matatu na kufunga mawili.

Usajili wake ni sehemu ya kuongeza nguvu katika eneo la ulinzi la Azam FC, pia likiwa ni pendekezo la benchi la ufundi chini ya kocha mkuu, Aristica Cioaba ili kuboresha timu hiyo kwa ajili ya msimu wa 2020/2021.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala