Connect with us

Makala

Simba Yaweka Rekodi Fainali FA

Timu ya Simba SC wametwaa ubingwa wa ASFC baada ya kuifunga Namungo FC mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa leo Agosti 2,uwanja wa Nelson Mandela mkoani Sumbawanga.

Kombe hili kwa Simba linakuwa la tatu kwenye msimu wa 2019/2020, awali wamechukua Ngao ya Jamii na Ligi kuu Tanzania Bara(VPL).

Luis Miqussone ametangulia kutupia bao la kwanza kwenye nyavu za Namungo Fc dakika ya 27 akifuatiwa na John Bocco Dakika 38,huku bao la kufutia machozi kwa upande wa Namungo Fc likifungwa dakika ya 56 na Manyama.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala