Connect with us

Makala

Mwamnyeto Amwaga Wino Yanga

Beki wa Coastal Union,Bakari Mwamnyeto amesaini dili la miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga siku ya leo Agosti Mosi.

Akiwa Coastal Union Mwamnyeto amekuwa ni nahodha ambaye ameongoza kikosi chake kumaliza ndani ya 10 bora akiwa amefunga bao moja.

Coastal Union Kwenye msimamowa ligi kuu ipo nafasi ya 7 baada ya kucheza mechi 38 imefungwa mabao 30 huku ikifunga jumla ya mabao 33.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala