Connect with us

Soka

Kimich Awaliza Dortmund

Bao pekee lililofungwa na kinda Joshua Kimich dakika ya 43 limeihakikishia Bayern Munich ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Borrusia Dortmund katika mchezo wa ligi kuu ya ujerumani(Bundesliga).

Bayern wanaendelea kusalia kileleni kwa tofauti ya points 7 wakiwa na points 64 huku Dortmund wakisalia nafasi ya pili na alama zao 57 licha ya kupata ushindi katika mchezo wa awali dhidi ya Schalke 04.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka