Connect with us

Makala

Christian Ronaldo Awekwa Karantini

Nyota anayekipiga ndani ya Juventus, Christiano Ronaldo amepelekwa karantini kwa siku 14 wakati wachezaji wenzake wanaoshiriki Serie A wakiwa wamenaza mazoezi.

Hii ni baada ya mapema wiki  nyota huyo aliporejea Italia kutoka kwao Ureno kwenye mapumziko baada ya ligi hiyo kusimamishwa kutokana na virusi vya Corona.

Juventus walianza mazoezi wiki hii chini ya uangalizi maalum ili kujiepusha na maambukizi ya corona na baadhi ya mastaa walioonekana wakianza mazoezi ni Giorgio Chiellini, Aaron Ramsey na Leonardo Bonu-cci.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala