Connect with us

Soka

Corona Yawakwamisha Ighalo,Man Utd

Klabu ya manchester United bado ina mpango wa kumpa mkataba wa kudumu msahambuliaji Odian Ighalo lakini inasubiri mpaka ligi kuu itakaporejea ili kuanzisha mazzungumzo na timu ya Shangai Shengua inayommiliki mshambuliaji huyo.

Ighalo alitua United kwa mkopo na baada ya kufanya vyema katika michezo kadhaa akifunga mbao manne katika michezo nane na kuivutia klabu hiyo iliazimia kumpa mkataba wa moja kwa moja baada ya ule wa mkopo kuisha may 31 mwaka huu.

Kikwazo kikubwa kwa Ighalo ni klabu yake ya awali ambayo inaonyesha haiko tayari kumuachia baada ya kumpa ofa ya mshahara wa paundi laki nne kwa wiki ili aendelee kubaki nchini China

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka