Connect with us

Makala

Ngoma Kupoteza Nafasi Azam Fc

Azam FC imemuongezea mkataba mshambuliaji , Obrey Chirwa huku uongozi wa timu hiyo umeonekana hauna mpango wa kumuongezea mkataba nyota wake, Donald Ngoma.

Uongozi wa Azam FC Unadai kuwa Ngoma amekuwa hana mwendelezo mzuri ndani ya klabu hiyo kutokana na kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara hali inayofanya ashindwe kuonyesha kiwango bora na kutoa mchango wake kwenye timu hiyo.

Ngoma alitakiwa arejee Dar kuja kuongeza mkataba pamoja na Chirwa, lakini viongozi wameona bora amalize mkataba wake aondoke na wao watafute mshambuliaji mwingine atakaye chukua nafasi yake

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala