Connect with us

Soka

Haaland Huyoo Madrid

Klabu ya Real Madrid imesema kuwa kwa msimu huu itahakikisha inapata saini ya mshambuliaji wa taifa la Norway na klabu ya Borussia Dortmund Erling Braut Halaand ili kujipa nafasi ya mwaka 2021 kupata saini ya mshambuliaji wa taifa la France na klabu ya PSG Kylian Mbappe.

Real Madrid umeamua kufanya ivo ilikuepukana na adhabu ambayo wanaweza kuipata kutoka UEFA ile ya Financial fear play (FFP) baada ya bei ya washambuliaji hao kuwa kubwa sokoni.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka