Connect with us

Soka

Miqquisone Ateka Shoo Simba sc

Kiungo Luis Miqquisone ameendelea kuonyesha ubora wake baada ya jana kufunga mabao mawili katika ushindi wa Simba sc dhidi ya Kmc ligi kuu Tanzania bara.

Kiungo huyo aliyesajili kutoka Ud Songo alipokua kwa mkopo alifunga mabao hayo dakika za 70 na 72 na kumfanya jumla afikishe mabao matatu katika michezo minne aliyoitumikia timu hiyo.

Ushindi huo unaifanya Simba ifikishe jumla ya pointi 64 ikiwa imecheza michezo 25 na kufanikiwa kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kuu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka