Connect with us

Soka

Senzo Kimataifa Zaidi

Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Senzo Mazingisa ni mmoja wa vigogo kadhaa wa soka watakaokuwa wazungumzaji katika Kongamano la Mpira wa Miguu la Dunia (WFS) linalotarajiwa kufanyika Durban, Afrika Kusini Machi 17 na 18.

Wazungumzaji wengine ni katibu mkuu wa FIFA, Fatma Samoura; Rais wa LaLiga, Javier Tebas; Rais wa Shirikisho la Soka Afrika Kusini (SAFA), Danny Jordaan na Rais wa Shirikisho la Soka la Sierra Leone, Isha Johansen.

Cc:Viwanjanileo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka