Connect with us

Soka

Ajibu Kuwakosa Lipuli Leo

Staa wa klabu ya Simba Ibrahimu Ajibu hatakua sehemu ya kikosi cha timu kinachoshuka dimbani jioni ya leo kupambana na Lipuli Fc mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Samora mjini Iringa.

Staa huyo alifunga bao la ushindi dakika za mwisho dhidi ya Polisi Tanzania ataukosa mchezo huo baada ya kuomba ruhusa kushighulikia matatizo ya kifamilia.

Staa huyo ataungana na Miraji Athuman na Mzamiri Yassin ambao wanasumbuliwa na majeraha kwa muda mrefu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka