Connect with us

Makala

Yanga sc Vs Geita April 10

Klabu ya Yanga sc itavaana na Geita Gold Fc katika mchezo wa robo fainali kombe la shirikisho nchini mchezo ambao utafanyika siku ya Jumapili April 10 jijini Dar es salaa katika uwanja wa Benjamini Mkapa.

Katika hatua hiyo klabu ya Coasta Union itawavaa Kagera Sugar April 11 katika uwanja wa Mkwakani jijini Tanga huku April 13 Simba sc itavaana na Pamba na Azam Fc itawakaribisha Polisi Tanzania katika mchezo wa mwisho.

Mshindi katika ya Yanga sc dhidi ya Geita Gold Fc atavaana na mshindi baina ya Simba sc na Pamba Fc huku Mshindi baina ya Azam Fc na Polisi Tanzania atavaana na mshindi kati ya Coastal Union na Kagera Sugar.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala