Connect with us

Soka

Tariq,Mo Banka Kuwavaa Prisons

Wachezaji Mohamed Issa Banka na Tariq Seif Kiakala wameanza katika kikosi cha kwanza cha Timu ya Yanga kitakachowavaa Prisons mchezo wa ligi kuu Tanzania bara.

Kikosi hicho kilichtolewa na mitandao kijamii ya klabu ya Yanga kimeonyesa pia kipa Farouk Shikhalo anakaa langoni baada ya kuwa benchi kwa mechi sita mfululizo huku Juma Abdul akiwa bado anaendeleza ubabe wa beki ya kulia.

Adeyun Salehe amerejea kucheza beki ya kushoto huku Lamine Moro na Ally Mtoni wakikamilisha ukuta na Papy Tshitshimbi,Mapinduzi Balama na Banka ndio watakaomiliki safu ya kiungo.

Tariq Seif na Yikpe Gislain watakaongoza mashambulizi wakisaidiwa na Bernard Morrisons.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka