All posts tagged "Yanga sc"
-
Makala
/ 5 years agoSisi Tuna Mbrazili,Nyie Mghana
Mashabiki wa Simba Sc walikuwa na kazi moja tu Juzi ya kujitokeza uwanja wa taifa Dar na kuwajibu watani wao Yanga...
-
Makala
/ 5 years agoMbelgiji Yanga Ashusha Morrison Mwingine
Wakati Bernard Morrison mchezaji wa Yanga akiendelea kuwafanya wapenzi wa timu hiyo washindwe kuamini anachofanya uwanjani baada ya kuhaidi kuifanyia maajabu...
-
Makala
/ 5 years agoYikpe Na Molinga Wapata Sifa Kwa Mbelgiji
Kocha wa Yanga Luc Eymael amewachambua washambuliaji wake David Molinga na Yikpe Gnamein kuwa ni wenye uchezaji wa tofauti wawapo uwanjani....
-
Soka
/ 5 years agoYanga Watua TPLB
Uongozi wa klabu ya Yanga umepeleka malalamiko Bodi ya ligi (TPLB) juu ya faini walizopewa katika mechi zao zilizochezwa mwezi uliopita...
-
Soka
/ 5 years agoMorrison Amjibu Eymael
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison amesema anapofanya mbwembwe uwanjani halengi kuwadhihaki timu pinzani bali ni mahsusi kwa ajili ya kuwapa...
-
Makala
/ 5 years agoSimba Yaahidi Kutolea Ufafanuzi Wa IST Ya Kabwili
Uongozi wa Simba Sc umeahidi leo kutolea ufafanuzi suala la mlinda mlango wa Yanga Ramadhan Kabwili kudai kuwa aliahidiwa gari aina...
-
Soka
/ 5 years agoYondani Amtibua Mbeligiji
Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema timu hiyo haiwezi kubembeleza mchezaji kwa kuwa anaamini hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu Eymael...
-
Soka
/ 5 years agoMorrison Gumzo Kila Kona
Staa mpya wa klabu ya Yanga Benard Morrison ameendelea kuwa gumzo nchini kufuatia kiwango cha hatari anachozidi kuonyesha staa huyo raia...
-
Soka
/ 5 years agoNinja Arudi Zenji
Aliyekuwa mlinzi wa Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amerejea visiwani Zanzibar baada ya klabu ya LA Galaxy kusitisha mkataba wake imefahamika Aidha...
-
Soka
/ 5 years agoRafael Daud Azua Utata
Utata umezuka jangwani kuhusu wachezaji waliotolewa kwa mkopo na klabu hiyo wakati wa dirisha dogo kufuatia baadhi ya wachezaji kuigomea klabu...