All posts tagged "Yanga sc"
-
Soka
/ 10 months agoMbivu na Mbichi za Dube Kesho
Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji na wanachama ya TFF inakutana kesho Alhamisi tarehe 18 April 2024 kupitia mashauri tofauti...
-
Soka
/ 10 months agoYanga Sc,Azam Fc Zakwepana Crdb Cup
Klabu za Yanga sc na Azam Fc zitakutana na klabu za Tabora United na Namungo katika hatua ya robo fainali ya...
-
Soka
/ 10 months agoAzam Fc Yatua Kwa Mzize
Klabu ya Azam Fc imeonyesha nia ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Clement Mzize baada ya kutuma...
-
Soka
/ 10 months agoSimba Sc Watua Znz
Msafara wa klabu ya Simba sc umewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya muda mfupi kujiandaa na mechi dhidi ya...
-
Soka
/ 10 months agoMashabiki Yanga sc Kukopeshwa Simu
Klabu ya Yanga sc leo imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya Silver General Investment ambapo mashabiki wa klabu hiyo...
-
Soka
/ 10 months agoBaleke Atajwa Yanga sc
Kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa zinadai kuwa Yanga SC imeanza mchakato wa kuhakikisha wanainasa saini ya mshambuliaji Jean Othus Baleke ambaye...
-
Soka
/ 11 months agoYanga Sc Yatuma Malalamiko Caf
Klabu ya Yanga SC ikiwa imepita siku moja tangu itolewe katika michuano ya CAF Champions League hatua ya robo fainali katika...
-
Soka
/ 11 months agoYanga Yatolewa na Mamelod Sundowns
Ndoto ya klabu ya Yanga sc kucheza fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika imefika mwisho baada ya kukubali kipigo...
-
Soka
/ 11 months agoDube Atinga TFF
Mshambuliaji Prince Dube ameenda katika shirikisho la soka nchini (TFF) akiwasilisha malalamiko yake akidai kwamba hatambui mkataba wake na klabu ya...
-
Soka
/ 11 months agoAziz Ki Bora Machi 2024
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki ameibuka kuwa mchezaji bora mwezi Machi msimu wa ligi kuu kwa msimu...