All posts tagged "Yanga sc"
-
Makala
/ 6 years agoZahera Ashusha Mashine ya Mabao Usiku
Klabu ya Yanga sc imempokea Mshambuliaji David Moringa (Falcao) raia wa Kongo kuja kusaini mkataba wa kujiunga na klabu hiyo jana...
-
Soka
/ 6 years agoYanga Yaibamiza Friends Rangers
Yanga sc imeibuka na ushindi wa magoli mawili dhidi ya Friends Rangers katika mechi ya kirafiki iliyopigwa asubuhi ya leo mjini...
-
Makala
/ 6 years agoYanga Sc Kurejea Dar August 2.
Baada ya maandalizi ya wiki tatu mkoani Morogoro, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam Ijumaa August 02 2019...
-
Soka
/ 6 years agoZahera Atua,Kuwaona Balinya,Sibomana Moro
Hatimaye kocha mkuu wa Yanga sc Mwinyi Zahera ametua nchini leo alfajiri akitokea nchini Ufaransa alipokua na mapumziko baada ya kutoka...
-
Soka
/ 6 years agoDante,Abdul Wapigwa “Stop” Yanga
Inaelezwa kuwa mabeki wa timu ya Yanga sc Juma Abdul na Andrew Vicent “Dante” wamesimamishwa na uongozi wa klabu hiyo kwa...
-
Soka
/ 6 years agoNi Yanga vs Kariobang Sharks Wiki ya Mwananchi
Klabu ya Yanga sc imethibitisha kuwa itavaana na Kariobang Sharks ya Kenya katika siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi katika...
-
Soka
/ 6 years agoSibomana hatari Aisee
Achana na taarifa za mgomo zinazoendelea Jangwani,Fowadi ya timu hiyo ni hatari baada ya kushinda mabao 19 ndani ya mechi tatu...
-
Soka
/ 6 years agoYondani,Dante Wakinukisha Yanga
Mabeki nguli wa klabu ya Yanga sc Kelvin Yondani,Vicent Andrew na Juma Abdul wamegomea kuhudhuria mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kambini...
-
Soka
/ 6 years agoAs Vita Waitosa Siku Ya Mwananchi
Timu ya As Vita ya nchini Kongo iliyokua ije nchini kumenyana na Yanga sc katika siku ya kilele cha tamasha la...
-
Makala
/ 6 years agoYanga Botswana,Simba Msumbiji Klabu Bingwa
Ratiba ya awali ya michuano ya klabu bingwa Afrika imetoka ambapo wawakilishi wa Tanzania timu za Simba na Yanga zimepangwa kuanza...