All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 9 months agoMustapha Kusalia Azam Fc
Mlinda mlango wa kimataifa wa Sudan Mohamed Mustapha sasa rasmi amekamilisha Uhamisho wake wa moja kwa moja Kujiunga na klabu ya...
-
Makala
/ 9 months agoYanga Sc Yafungiwa Tena
Ikiwa tayari ina kesi ya kulipa fedha kwa ajili ya mshambuliaji Lazarus Kambole bado klabu ya Yanga sc imeandamwa na madeni...
-
Makala
/ 9 months agoAziz Ki Kusalia Yanga Sc
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki anatarajia kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kusalia klabuni hapo baada...
-
Makala
/ 9 months agoMutale,Kapumbu Kutua Simba Sc
Klabu ya Simba iko katika hatua za mwisho kumsainisha mkataba mchezaji Kelvin Kapumbu (28) raia wa Zambia anayecheza klabu ya Zesco...
-
Makala
/ 9 months agoDjuma Shabani Anukia Coastal Union
Klabu ya Coastal Union yenye makazi yake jijini Tanga iko mbioni kukamilisha usajili wa beki wa zamani wa klabu ya AS...
-
Makala
/ 9 months ago“Dube Anakuja” Aziz Ki
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc na mfungaji bora wa ligi kuu ya Nbc msimu huu Stephane Aziz Ki amebainisha...
-
Soka
/ 9 months agoDodoma Jiji Watua kwa Mexime
Mabosi wa timu ya Dodoma Jiji Fc wamefikia makubaliano na aliyekuwa Kocha mkuu wa Singida Black Stars, Mecky Maxime kwa ajili...
-
Makala
/ 9 months agoAdam Adam Arejea Azam Fc
Klabu ya Azam Fc imemrejesha klabuni hapo mchezaji Adam Adam kutoka Mashujaa Fc ikiwa imepita miaka 10 tangu aitumikie akademi ya...
-
Makala
/ 9 months agoManyama Aitemana na Azam Fc
Klabu ya Azam Fc imeamua kuachana na beki Edward Charles Manyama baada ya mchezaji huyo kumaliza mkataba wake klabuni hapo huku...
-
Makala
/ 9 months agoKambole Aikomalia Yanga sc
Licha ya kulimaliza suala ya Mamadou Doumbia kwa kufanikisha kujaza taarifa za malipo ya usajili wa mchezaji huyo bado klabu ya...