All posts tagged "usajili"
-
Soka
/ 6 years agoNduda,Mbonde Warudi Nyumbani
Timu ya Mtibwa Sugar imesajili wachezaji Said Mohamed “nduda” na Salim Mbonde waliotemwa na klabu ya Simba baada ya miaka miwili...
-
Soka
/ 6 years agoMsudani Atua Biashara Utd
Timu ya Biashara United ya mkoani Mara imeendelea kuboresha kikosi chake kwa kusajili mchezaji Yassir Khemis Celestino kwa mkataba wa mwaka...
-
Soka
/ 6 years agoSoslkjaer-“Pogba Haondoki Ngo”
Mkufunzi wa timu ya manchester united Ole Gunnar Solskjaer amethibitisha kuwa kiungo Paul Pogba atasalia klabuni hapo kwa msimu ujao wa...
-
Soka
/ 6 years agoNeymar Aikataa Psg
Mshambualiaji wa Brazil Neymar amemwambia mkurugenzi wa timu ya Paris st German(PSG) kuwa anataka kuondoka klabuni hapo katika majira haya ya...
-
Soka
/ 6 years agoSimba ni Zaidi ya Tp Mazembe-Ajib
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba sc Ibrahim Ajib ameamua kutoa ufafanuzi kuhusu suala ya kutojiunga na timu ya Tp Mazembe...
-
Soka
/ 6 years agoFedha za Waarabu Zamvuta Okwi
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uganda(The cranes) Emmanuel Okwi yupo mbioni kukamilisha uhamisho wa kujiunga na timu inashiriki ligi kuu...
-
Soka
/ 6 years agoNiyonzima Arudi Nyumbani
Hatimaye kiungo wa zamani wa Yanga sc na Simba sc Haruna Niyonzima amerudi nyumbani baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja...
-
Soka
/ 6 years agoNinja Awatema Yanga sc
Beki Abdallah Shaibu “Ninja”amesaini mkataba na timu ya klabu ya MFK Vyoskov inayoshiriki ligi daraja la tatu Jamhuri ya Czech wa...
-
Soka
/ 6 years agoBeki Yanga Apewa Saa 24
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla amempa masaa 24 beki wa klabu hiyo Gadiel Michael awe amesaini mkataba mpya...
-
Soka
/ 6 years agoStraika la Mazembe Sasa Rasmi Msimbazi
Simba sc wamekamilisha usajili wa mshambualiaji Deo Kanda aliyekuwa akiichezea Tp Mazembe ambaye amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuendeleza moto wa...