All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 5 years agoMorrison Azua Taharuki,Asaini Simba
Kiungo mshambuliaji wa Yanga,Benard Morrison ametambulishwa rasmi leo ndani ya kikosi cha Simba ukiwa ni usajili wa kwanza kwa ajili ya...
-
Makala
/ 5 years agoMbaraka Arudi Nyumbani Kagera Sugar
Mchezaji wa Azam Fc,Mbaraka Yusuph amesaini kandarasi ya miaka miwili kuichezea timu yake ya zamani ya Kagera Sugar baada ya mkataba...
-
Makala
/ 5 years agoYanga Yapigwa Bao Dodoma Fc
Dodoma Fc imefanikiwa kunasa saini ya kiungo aliyekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga kwa mda mrefu,Cleofas Mkandala kutoka TanzaniaPrisons. Afisa habari wa...
-
Makala
/ 5 years agoMorrison Atajwa Kutua Simba Sc
Inaelezwa kuwa nyota wa Yanga, Bernard Morrison anaweza kuonekana akiwa kwenye uzi mweupe na mwekundu kwani tayari amemalizana na uongozi wa...
-
Makala
/ 5 years agoLiverpool Yakaziwa Kwa Lewis
Liverpool ambao ni mabingwa wa ligi kuu England wamekutana na ukuta wa kumpata beki wa Norwich City,Jamal Lewis baada ya thamani...
-
Makala
/ 5 years agoNinja Ajifunga Yanga Miaka Miwili
Beki wa kati Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’ amesaini dili la miaka miwili leo Agosti 6 kuitumikia klabu ya Yanga akitokea MFK...
-
Makala
/ 5 years agoNamungo Waanza Na Jembe Hili
Namungo Fc ya Lindi imeamua kumalizana na mchezaji kutoka Lipuli Fc,Fredy Tangalo ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili akiwa ni mchezaji...
-
Makala
/ 5 years agoMan United Yamalizana Na Sanchez
Hatimaye Manchester United imemalizana na Alexis Sanchez baada ya klabu ya Inter Milan kukubali kumsajili raia huyo wa Chile kwa pauni...
-
Makala
/ 5 years agoAjibu Anukia KMC
Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu anaweza kutolewa kwa mkopo kwenda ndani ya klabu ya KMC. Nyota huyo alijiunga...
-
Makala
/ 5 years agoKada Atua Azam Fc
Azam FC imemalizana na aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Tanzania Praisons, Ismail Aziz Kada siku ya leo baada ya kufuzu vipimo vya...