All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 5 years agoYanga Kibabe Wanyakua Wawili Congo
Yanga Sc imekamilisha usajili wa wachezaji wawili kwa mpigo kutokea nchini DR Congo kwenye klabu ya As Vita ambao ni Mukoko...
-
Makala
/ 5 years agoAubameyang Aongeza Mkataba Arsenal
Pierre-Emerick Aubameyang amekubali kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu ndani ya kikosi chake cha Arsenal ambapo mshahara wake unakadiriwa kuwa pauni...
-
Makala
/ 5 years agoJembe Polisi Asaini Namungo Fc
Mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania,Sixtus Sabilo ametambulishwa rasmi leo ndani ya Namungo Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja. Sabilo...
-
Makala
/ 5 years agoJembe KMC Atambulishwa Rasmi Simba
Uongozi wa Simba Sc umemtambulisha rasmi ,Charlse Ilanfya kwenye kikosi kinachonolewa na kocha mkuu Sven Vandenbroeck. Ilanfya alikuwa anakipiga ndani ya...
-
Makala
/ 5 years agoOnyango Asaini Simba
Nyota wa zamani wa klabu ya Gor Mahia,Joash Onyango ametambulishwa rasmi leo ndani ya Simba sc baada ya kusaini kandarasi ya...
-
Makala
/ 5 years agoHumud Ajifunga Namungo Miaka Miwili
Abdulhalim Humud wa Mtibwa Sugar amejiunga na Namungo Fc leo Agosti 13 iliyo chini ya Hitimana Thiery kwa dili la miaka...
-
Makala
/ 5 years agoMorrison Noma,Ashinda Kesi Yanga
Kesi ya Benard Morrison na Yanga Sc imeisha baada ya mchezaji huyo kushinda kesi yake kuhusu mkataba wake dhidi ya timu...
-
Makala
/ 5 years agoBeki Mbao Amwaga Wino Azam
Leo Agosti 12 Azam Fc imeingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kushoto kutokea Mbao Fc, Emmanuel Charles kwa usajili...
-
Makala
/ 5 years agoFarid Mussa Atua Yanga
Mshambuliaji aliyekuwa anakipga ndani ya CD Tennerife ya Hispania,Farid Mussa ametangazwa rasmi leo kuwa mali ya Yanga baada ya kumwaga wino...
-
Makala
/ 5 years agoPierre Ajifunga Miaka Mitano Tottenham
Tottenham Hotspurs imekamilisha usajili wa kiungo Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton kwa dili la miaka mitano baada ya utaratibu wa vipimo kukamilika....