Connect with us

All posts tagged "Tottenham Hotspurs"

  • Kadi Ya Son Yafutwa

    Shirikisho la soka la nchini Uingereza(Fa) limeifuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa timu ya Tottenham Hotspurs Son Heung-min baada ya kujiridhisha...

  • Gomez Kupasuliwa Leo

    Klabu ya Everton ya nchini England, imethibitisha kuwa mchezaji wao Andre Gomes atafanyiwa upasuaji leo hii nchini humo. Gomes alivunjika mguu...

  • Bayern Yaifanyia Mauaji Totts

    Timu ya Bayern Munchen imeifunga Tottenham mabao 7-2 katika mchezo wa kundi B michuano ya klabu bingwa barani ulaya mchezo uliofanyika...

  • Hali Tete Tottenham

    Licha ya dirisha la usajili kufungwa bado bundi ametanda katika klabu ya Tottenham kufuatia mastaa kibao kumaliza mikataba yao mwakani hivyo...

  • Wanyama Amkimbia Pogba

    Kiungo wa Tottenham Victor Wanyama yuko mbioni kujiunga na timu ya Club Bruge ya Ubelgiji baada ya timu hiyo kukubaliana dau...

  • Man Utd Balaa

    Kikosi cha Manchester United kimeendelea kuonyesha makali katika michuano ya Icc baada ya jana kuifunga timu ya Tottenham kwa mabao 2-1...

More Posts