Uongozi wa klabu ya Simba Sc unafanya mawasiliano ya karibu na shirikisho la mpira nchini (TFF) ikiwezekana wachezaji wao walioko katika majukumu ya timu ya Tanzania (Taifa Stars) baada ya …
Tff Tanzania
-
-
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) Wallace Karia ametolea ufafanuzi suala la wachezaji wa kigeni na kueleza kuwa wachezaji wa kigeni wameongeza ushindani kwenye ligi yetu na …
-
Wachezaji Cletous Chama wa Simba sc na Stephane Aziz Ki wa Yanga sc wamefungiwa michezo mitatu na adhabu ya faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutosalimiana na wachezaji …
-
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa adhabu ya kutosajili kwa kipindi cha dirisha moja kwa klabu za Singida Big Stars …
-
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa miaka 23 imefanikiwa kufuzu hatua inayofuatia ya kusaka tiketi ya kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika itakayofanyika mwakani nchini Morroco baada …
-
Kuelekea mchezo wa ngao ya jamii baina ya Yanga sc na Simba sc utakaofanyika kesho katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam makocha wa timu zote mbili Zoran …
-
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limempeleka kamati ya maadili Afisa habari wa klabu ya Yanga sc Haji Manara kutokana na kosa la kinidhamu baada ya kurushiana maneno na Rais …
-
Shirikisho la soka nchini(Tff) limetoa orodha ya mawakala wa wachezaji wanaotambulika na shirikisho hilo ndani na nje ya nchi kufanya biashara ya kuuza wachezaji wa soka nchini. Awali wachezaji wengi …
-
Klabu ya Yanga sc imelalamika kutotendewa haki na waamuzi wa ligi kuu nchini kiasi cha kusababisha kuwa na matukio mengi tata katika michezo inayowahusisha wao nchini. Yanga sc kupitia kwa …
-
GSM imejiondoa Rasmi kuwa mdhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania bara kutokana na kutotimizwa Kwa Makubaliano ya Mkataba baina yao na Shirikisho la soka nchini (TFF). Kampuni hiyo ambao ni …