Connect with us

Makala

TFF yatoa Orodha ya Mawakala Wanaotambulika

Shirikisho la soka nchini(Tff) limetoa orodha ya mawakala wa wachezaji wanaotambulika na shirikisho hilo ndani na nje ya nchi kufanya biashara ya kuuza wachezaji wa soka nchini.

Awali wachezaji wengi wa ligi kuu nchini hawakua na mawakala ambapo walikua wanawakilishwa na mameneja katika kusimamia mikataba na usajili mpaka hapo shirikisho lilipoamua kuweka utaratibu rasmi wa mawakala wanauza wachezaji na ndani ya nchi ambapo shirikisho hutoa leseni kwa mawakala hao.

Kutokana na utaratibu huo kila mwaka shirikisho hutoa orodha ya mawakala wanaoruhusiwa kufanya shughuli hizo ambapo kwa mwaka huu orodha hiyo ni kama ifuatavyo katika Tangazo lilitolewa na Tff.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Makala