Connect with us

All posts tagged "tetesi"

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, atarejea katika mazoezi ya kikosi cha kwanza Manchester United wiki hii na anapania...

  • CAF Yamtema Drogba

    Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinadai kuwa shirikisho la kabumbu barani Afrika “CAF” limemfuta kazi aliyewahi kuwa mshambuliaji wa Chelsea Didier Droga kutokana...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Wachezaji wa Atletico Madrid walishikwa na hasira na kushangazwa baada ya kukosolewa na kocha wa Liverpool Jurgen Klopp. Atletico iliwafunga Liverpool...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, 32, amepigiwa simu na klabu ya LA Galaxy kujadili uhamisho...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Barcelona italazimika kumjumuisha mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann katika mpango wowote utakaojaribu kuishawishi Inter Milan kuwauzia Lautaro Martinez. (Sun) Pep Guardiola...

  • Tetesi Za Usajili

    Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo, 30, amepigwa marufuku katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo kutokana na hofu ya hatari...

  • Tetesi za Usajili Ulaya

    Manchester United imeongeza ombi lao la kutaka kumsaini kiungo wa kati wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes kwa dau la awali la...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    * Meneja wa muda wa Arsenal Freddie Ljungberg amewataka wakuu wa Arsenal kuamua haraka mtu wanaemtaka kuwa meneja wao ajae. (Sun)...

  • Tetesi za Usajili Barani Ulaya

    Mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann atajiunga na barcelona msimu ujao baada Mtendaji mkuu wa club ya Atletico Madrid kuthibitisha kuwa...

More Posts