All posts tagged "simba sc"
-
Makala
/ 6 months agoLawi Aiangukia Kamati TFF
Beki wa klabu ya Coastal union Lameck Lawi hatimaye amerejea nchini baada ya kushindwa kufuzu majaribio yake katika klabu ya K.A.Gent...
-
Makala
/ 6 months agoSimba Sc Yaanza Ligi na 3G
Klabu ya Simba Sc imeanza ligi kwa gia kubwa baada ya kuizamisha Tabora United kwa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi...
-
Makala
/ 6 months agoAteba Atua Simba Sc
Klabu ya Simba Sc imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Cameroon Lionel Ateba kutoka klabu ya Usm Algers inayoshiriki ligi kuu...
-
Makala
/ 6 months agoOnana Aondoka Simba Sc
Klabu ya Simba Sc imetangaza kuachana na mshambuliaji Leandre Willy Esomba Onana baada ya kufikia makubaliano baina ya pande zote mbili...
-
Makala
/ 6 months agoRasmi Awesu Asalia Simba Sc
Baada ya Mazungumzo ya muda mrefu hatimaye klabu za Simba Sc na Kmc zimefikia muafaka kuhusu usajili ya kiungo mshambuliaji Awesu...
-
Makala
/ 6 months agoSimba Sc Yajipoza Kwa Coastal Union
Klabu ya Simba Sc imejipoza kutoka kufungwa Derby ya kariakoo na Yanga sc baada ya kuibamiza Coastal Union kwa bao 1-0...
-
Makala
/ 6 months agoYanga Sc Ubabe Ubabe
Yanga sc imeendeleza Ubabe kwa Simba sc baada ya kuifunga 1-0 na kufanikiwa kuingia Fainali ya kombe la Ngao ya jamii...
-
Makala
/ 6 months agoSimba Day Kiboko
Tamasha la klabu ya Simba sc maarufu kama Simba day limefanyika kwa mafanikio makubwa ikiwa ni mara ya 16 ambapo limefanyika...
-
Makala
/ 6 months agoSimba Queen Watawala Tuzo TFF
Klabu ya soka ya Simba Queen imefanikiwa kutawala usiku wa Tuzo za Shirikisho la soka nchini baada ya kufanikiwa kutwaa takribani...
-
Makala
/ 6 months agoSimba Day ni “Sold Out”
Mpaka sasa klabu ya Simba Sc imebakisha tiketi chache kuujaza uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwa ni siku mbili kabla ya Tamasha...