All posts tagged "simba sc"
-
Makala
/ 5 years agoKocha Simba Hakutegemea Kupata Zero
Kocha mkuu wa Simba Sc ,Sven Vandenbroeck hajategemea kama angeliweza kupoteza kwenye mchezo dhidi ya Yanga kwa jinsi kikosi chake kilivyoweza...
-
Makala
/ 5 years agoSimba Yakubali Yaishe
Benard Morrison alitosha kabisa kuipa timu yake ya Yanga ushindi muhimu dhidi ya watani wao wa jadi Simba Sc siku ya...
-
Soka
/ 5 years ago200ml Kuwamaliza Simba sc
Kama kuna anaedhani Yanga inauchukulia poa mchezo dhidi ya watani zao Simba ambao utapigwa Jumapili, pole yake kwani mabingwa hao wa...
-
Soka
/ 5 years agoNugaz Afunguka Kuelekea Derby
Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz amesema kikosi cha timu hiyo kimejipanga sawasawa kuelekea mchezo wa ligi...
-
Makala
/ 5 years agoSimba Inajipigia Tu
Simba Sc imeendelea kuonyesha ubabe baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya mabao 3-2 dhidi ya Azam fc katika...
-
Soka
/ 5 years agoRais Wa Caf Kuishuhudia Simba,Yanga
Shirikisho la soka nchini Tff limemwalika Rais wa shirikisho la soka barani Afrika Caf Ahmed Ahmed kuwa mgeni rasmi wa mechi...
-
Makala
/ 5 years agoManara Arejesha Fedha Yanga
Msemaji wa klabu ya Simba sc Haji Sunday Manara amefika makao makuu ya klabu ya Yanga sc kurejesha kiasi cha pesa...
-
Soka
/ 5 years agoViingilio Simba,Yanga Vyabadilishwa
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania limefanya mabadiliko ya viingilio katika mchezo wa Kariakoo Derby (Yanga sc vs Simba sc)...
-
Soka
/ 5 years agoMiqquisone Ateka Shoo Simba sc
Kiungo Luis Miqquisone ameendelea kuonyesha ubora wake baada ya jana kufunga mabao mawili katika ushindi wa Simba sc dhidi ya Kmc...
-
Makala
/ 5 years agoPenalti Yawapeleka Simba Robo Fainali
Hatimaye kikosi cha Simba Sc kimetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kupata ushindi wa penalti 3-2...