All posts tagged "simba sc"
-
Makala
/ 9 months agoAwesu Awesu Aleta Utata Simba Sc,Kmc
Klabu za Simba Sc na Kmc zimeingia katika mgogoro kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Awesu Awesu ambaye tayari ametambulishwa na Simba...
-
Makala
/ 9 months agoLawi Azua Kizazaa TFF
Klabu ya Simba sc imefungua shauri katika kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF) ikilalamikia...
-
Makala
/ 9 months agoKaria Awalinda Mastaa wa Kigeni
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) Wallace Karia ametolea ufafanuzi suala la wachezaji wa kigeni na kueleza kuwa...
-
Makala
/ 10 months agoVAR Kutumika Ligi Kuu 2024
Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania Almas Kasongo amesema kwamba kuanzia msimu ujao wa ligi kuu ya Nbc...
-
Makala
/ 10 months agoKijiri Atua Simba Sc
Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa beki Kelvin Kijiri aliyekua Singida Black Stars kwa mkataba wa miaka miwili ambapo sasa...
-
Makala
/ 10 months agoKanoute Apewa “Thank You”
Kiungo Sadio Kanoute hatokua sehemu ya kikosi cha Simba sc kwa msimu ujao baada ya mabosi wa klabu ya Simba sc...
-
Makala
/ 10 months agoSimba Sc Yaingia Kambini Misri
Klabu ya Simba sc imeingia nchini Misri katika jiji la Ismailia kwa ajili kambi maalumu ya maandalizi ya msimu mpya (Pre-seasons)...
-
Makala
/ 10 months agoMbadala ya Zimbwe,Mzamiru Watambulishwa Simba Sc
“Msimu bora Uanze” Ndio kauli inayosikika vijiweni kutokana na usajili kabambe ambao klabu ya Simba Sc imeufanya mpaka sasa ikiwasajili mastaa...
-
Makala
/ 10 months agoKocha Simba Sc Atua na Balaa
Muda mfupi baada ya kutambulishwa katika klabu ya Simba sc kocha Kocha Fadlu Davids ampokutana kwa mara ya kwanza na baadhi...
-
Makala
/ 10 months agoMashaka Atambulishwa Simba Sc
Klabu ya Simba imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji Valentino Mashaka kutoka klabu ya Geita Gold kwa mkataba wa miaka miwili na ametangazwa...