All posts tagged "mtibwa sugar"
-
Makala
/ 5 years agoKihimbwa Arejea Uwanjani
Mchezaji wa Mtibwa Sugar ,Salum Kihimbwa amerejea uwanjani rasmi baada ya kupona majeraha yake akiwa yupo tayari kukabiliana na michezo ijayo...
-
Soka
/ 5 years ago“Nitaendelea Kufungwa Tu”-Manula
Kipa wa timu ya Simba sc Aishi Manula amesisitiza kuwa ataendelea kufungwa endapo atakaa langoni kuidakia timu hiyo katika michezo mbalimbali....
-
Soka
/ 5 years agoSimba Wailaza Mtibwa Sugar
Timu ya soka ya Simba sc imeibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya mtibwa sugar katika mchezo wa ligi...
-
Makala
/ 5 years agoMtibwa Sugar Hoi Kwa Kmc
Timu iliyonyakua ushindi wa kombe la mapinduzi Mtibwa Sugar wamefungwa na KMC mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa...
-
Makala
/ 5 years agoYanga “Out” Mapinduzi Cup
Timu ya soka ya Yanga sc imetolewa kwenye michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penati na...
-
Makala
/ 5 years agoBanka Awasubiri Mtibwa
Wakati akitarajiwa kuibeba tena timu yake itakaposhuka dimbani dhidi ya Mtibwa Sugar leo, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mohamed Issa ‘Banka’, ametoa...
-
Soka
/ 6 years agoMbappe Akaribishwa Mtibwa Sugar
Staa wa timu ya taifa ya vijana (Ngorongoro Heroes) Kelvin John “Mbappe” amepewa ofa ya kufanya mazoezi na timu ya soka...
-
Soka
/ 6 years agoKiungo Mtibwa,Azam Afariki Dunia
Kiungo wa zamani wa Azam fc na Mtibwa sugar Ibrahim Rajabu Jeba amefariki dunia akiwa visiwani Zanzibar alikokua akiichezea timu ya...
-
Makala
/ 6 years agoKichuya Yupo Bongo,Anasikilizia Mchongo Tu
Winga wa zamani wa Simba sc Shiza Ramadhani Kichuya yupo nchini Tanzania akitafuta timu ya kuchezea baada ya ile ya Awali...
-
Soka
/ 6 years agoNduda,Mbonde Warudi Nyumbani
Timu ya Mtibwa Sugar imesajili wachezaji Said Mohamed “nduda” na Salim Mbonde waliotemwa na klabu ya Simba baada ya miaka miwili...