All posts tagged "mkataba"
-
Soka
/ 6 years agoAlly Ally wa Kmc Asaini Yanga
Beki wa timu ya Kmc Ally Ally amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia timu ya Yanga sc leo hii jioni...
-
Soka
/ 6 years agoKumekucha Yanga
“Jangwani kumekucha” ndio msemo unaoweza kuutumia kuelezea mishemishe za usajili zinazoendelea katika klabu hiyo yenye makao makuu Jangwani Kariakoo Dar es...
-
Soka
/ 6 years agoKamusoko Amuweka Matatani Zahera
Kiungo mtaalamu wa staili ya kampa kampa tena Thabani skala Kamusoko amuweka matatani kocha wa Timu ya Yanga Mwinyi Zahera kufuatia...
-
Makala
/ 6 years agoSimba Yasajili Beki Katili
Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa beki Kennedy Juma Wilson aliyekua akichezea Singida United kwa mkataba wa miaka miwili ambapo...
-
Soka
/ 6 years agoMshahara wa Kagere Kufuru Simba
Unaweza kusema ni kufuru,Baada ya mshambuliaji wa Simba sc mwenye asili ya Kinywaranda Meddie Kagere kusaini mkataba mpya wa miaka miwili...
-
Soka
/ 6 years agoSimba,Ajibu Kimeeleweka
Taarifa za ndani ya klabu ya Simba Sc zinadai kuwa aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Yanga Sc Ibrahimu Ajibu Migomba tayari...
-
Soka
/ 6 years agoBreaking News..Kakolanya Asaini Simba
Aliyekua kipa namba moja wa Yanga Benno Kakolanya amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba Sc akisaini kama mchezaji huru...
-
Soka
/ 6 years agoBreaking News..Mkude Asaini Simba
Kiungo wa Simba sc Jonas Mkude amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo ya kariakoo msimbazi jijini Dar es...
-
Soka
/ 6 years agoBaada ya boko,Nyoni Ajifunga Simba
Beki kiraka wa Simba sc Erasto Edward Nyoni ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa miaka miwili ijayo baada...
-
Makala
/ 6 years agoNdayiragije Rasmi Azam Fc
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo umeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Etienne...